Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baadhi ya wachungaji wa kanisa hilo wakiwa katika maandalizi ya kuanza ibaada katika kanisa lililopo ndani ya Ofisi za jimbo eneo la jakaranda jijini Mbeya


Wachungaji mbalimbali wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi wakiwa katika maombi maalum yenye lengo la kukemea kitendo cha baadhi ya wachungaji na wakristo wa kanisa la moravian kufunga ofisi ya jimbo Julai 15 mwaka huu kwa makufuri na minyororo..




Mmoja wa washiriki wa wa ibada hiyo ambaye jina lake halikutambulika mara moja akitolewa nje na watumishi wa kanisa hilo mara baada ya kupandisha mapepo wakati ibaada ikiendelea 


Baadhi ya wachungaji wakishika moja minyororo iliyotumika kufunga ofisi za jimbo hilo kwa lengo la kuiombea na kutoa mapepo.




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top