Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mnala wa kumbukumbu ya mashujaa uliopo jijini Mbeya


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw Abbas Kandoro akiweka Ngao ya ishara ya kuwakumbuka wanajeshi katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa Jijini Mbeya.picha na Fahari News



Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga akiweka mikuki katika mnala wa kumbukumbu ya mashujaa 

Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya(92)akiwa ameshikiliwa kwenda kuweka Shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa

Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top