Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mkoa mpya wa njombe unaokua kwa kasi kubwa na kuibua  fursa nyingi  za biashara ya  kila aina sasa unaweza kuanza biashara ya hoteli kwa kupangishwa tu moja ya majengo haya  yaliyo tayari kwa biashara hii  kwanza kwa kuwa eneo lenye mzunguko wa watu na pia kuweza kutimiza malengo yako kwa wakati 
moja ya majengo ya kisasa kama yaliyopo hapa maeneo ya Airport mkoani Njombe 


muonekano wa ndani wa hoteli 


mandhari ya kuvutia ya eneo zima la biashara linalokodishwa


muonekano wa kisasa wa moja ya nyumba zilizo eneo la aiport  mkoani njombe


eneo kubwa la biashara ambalo waweza kujenga majengo mengine ya biashara 


muonekano wa moja ya chumba
KWA MAWASILIANO NASI KUWEZA KUPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSU UPANGISHAJI WA MAJENGO HAYA NA KUWEZA KUFANYA BIASHARA KATIKA MKOA MPYA WA NJOMBE UNAOKUA KWA KASI 


PIGA SIMU .0767304507  AU 0784304507
                               EMAIL< krantzcharles@gmail.com 

 JINA LA MMILIKI ,VIKAEL SANGA 
       P.O.BOX 284
                                                           NJOMBE TANZANIA 
                      kumbuka >>> HAKUNA MADALALI  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top