Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwandishi wa habari toka Guardian Mzee Chanda akifafanua jambo katika semina hiyo ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Gr City jijini Mbeya ambayo  iliyoandaliwa na Tanzania Media Fund kwa lengo  kuwajengea uwezo waandishi wa habari mkoani humo katika kuandika habari za kiuchunguzi.Picha na Kenneth Ngelesi



Mwezeshaji katika semina hiyo toka TMF Ndugu Ndimara Tegambwage  ikifafanua kwa umakini mkubwa mbele ya washiriki wa semina hiyo ambao ni waandishi wa habari . 









Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top