Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 mwili wa marehemu ambae hakuweza kutambulika kwa majina.

Hasubuhii hii mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa amepoteza maisha kutokana na kuvamiwa na watu wasio julikana na kumtelekeza kando kando ya mto, tunaomba radhi kwa picha hizi kwani mpaka sasa hajatambulika ni nani na ni mkazi wa wapi.


 baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.


majonzi yametawala eneo hilo.picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii mbeya. BLOG YA WANANCH

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top