Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
“Maisha yangu yote toka nimeanza mapenzi na Naseeb naweza kusema kuwa sikuwahi kuwa unfaithful. I used to be very faithful to him na tulikuwa tunapendana sana. With Naseeb (Diamond Platnumz) nilikuwa nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo”
Hayo si maneno yetu bali ni maneno aliyoyasema mwanadada wema Sepetu katika mahojiano yake na jarida ya Mzuka.
Katika mahojiano hayo,Wema pia amefunguka kuhusu jinsi Diamond alivyomcheat na Jokate kwa kusema, “nadhani pia inacost mwanaume akishajua kwamba anakutawala in one way or another so labda ni shetani au ni ibilisi alimuingilia baada ya kutaka kuanza kushoot video ya Mawazo ndo rumors zilianza, nikawa siamini kwanza.”
Naam, hayo ndio aliyoyasema mrembo huyu kupitia jarida hilo.
Tupe maoni yako mdau.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top