Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Meneja Miradi wa NHC, George Magembe wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakipokea wageni waliokuwa wakiwasili katika eneo la nyumba za gharama nafuu za watumishi za Busokelo, Mbeya zinazojengwa na Shirika hilo na kuwekwa jiwe la msingi na  Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda.
Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Busokelo zinazojengwa na NHC kama zinavyoonekana leo.
Bango la Kumkaribishs Waziri Mkuu
 Msoma Hotuba  wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Bw. Sanga akisoma hotuba hiyo mbele ya Waziri Mkuu leo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akijadiliana jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu) na Mbunge wa Rungwe Mashariki , Profesa Mark Mwandosya katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo.CREDIT FULL SHANGWE

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top