Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Add caption
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akibadilishana mawazo na mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili wakati wa ibada maalum ya kumshukuru mungu kwa ajili ya mafanikio ya Benki ya CRDB katika kipindi cha mwaka 2014.
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza wakati wa ibada maalum ya shukruni iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Msasani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwa na mke wake wakiwa katika ibada ya Shukrani kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 20
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada ya Shukrani.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza.
Ibada ikiendelea.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Kilimanjaro, Francis Mollel (wa pili kushoto) akishiriki Ibada hiyo.credt Michuzi
Add caption
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili akiimba nyimbo za injili. 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top