Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Kama nimfuatiliajimzuriwavipindivipyavyaredionchini Tanzania, basilazimautakuwaumekutananaShujaaz Radio ShowinayoendeshwanakijanaanayejiitaDJ Tee. Kitukimojatofautisanaambachokijanahuyuanakifanyakwenye shoo yakenikuelimishavijanawengine, kuwapamesejimbalimbalikuhusiananamapenzi, mahusiano, nafursambalimbali, kwanjiarahisisanayaburudani.
Wiki iliyopitakatikaharakatizanguzakutafutavituvipya, nilijikutanikisikilizaTBC FMkwamudamrefunapasipokutegemea, nilijikutanikiisikiaShujaaz Radio Show. Nilidhaninimebadilisha frequency, lakininilikujakuhakikishiwabaadaenashabikimmojawaDJ Teeambayenimekuwanikimuonaakiizungumziasana shoo hiikwenyeakauntiyakeya Twitter.
Nilijikutanikijiuliza – Hivikuna shoo ganinyinginenchini Tanzania ambayoinarushwanarediostesheninnetofautitofauti? Jibusahihini HAKUNA! Ukiangaliaalipotokeakijanahuyutangunilipoanzakufuatiliastoriyakekwenyekijarida cha SHUJAAZ, nimeonanijinsiganiamefanikiwasanakwakufikiawatuwengindaniyamudamfupisana.
Kwa ufahamuwangunikikurudishanyumakidogo, SHUJAAZilizinduliwanchini Tanzania mweziFebruarimwakajana 2015 (mwakammojauliopita), naredio shoo zaSHUJAAZtulianzakuzisikiamweziNovembamwakajana 2015 kupitiaEast Africa Radio. Mwakahuu2016 ulipoanza (Januari) tuliwezakusikiarediostesheninyinginembilizikirusha shoo hii kali yavijana, Chuchu FMya Zanzibar naKings FMkwamikoayakusinimwa Tanzania.
Habarizilizoponikwambahivisasa shoo hii pia inasikikakupitiaTBC FMkilaJumamosisaakuminamojajioni. Hiiinafanya shoo hiikusikikakupitiavituo 4 vyaredionchini Tanzania. Kilichonivutiazaidiniutofautiwamaudhuikwa shoo zakilakituokwakuwakamautapatanafasiyakuzisikilizazote, utagunduakuwakilastesheniinakituchaketofautikabisakupitiaShujaaz Radio Show.
VijanawengiwamekiriwaziwazikuwaSHUJAAZkwaujumlaimewasaidiakwakiasikikubwakubadilishamitazamonafikrazaokuelekeamafanikiokwastailirahisinayenyekuburudisha.
Kijarida cha SHUJAAZhutokakilaJumamosiyamwishowamwezinahusambazwanagazeti la MwanaspotinawauzajimaalumwaCoca Colanchinzima. VipindivyarediovyaSHUJAAZhusikikakupitiaEast Africa RadiokilaJumamosisaaTISAkamilialasiri, Chuchu FMkilaJumamosisaaKUMIjioni, TBC FMkilaJumamosisaaKUMI NA MOJAjioninaKings FMkilaJumamosisaaKUMI NA MBILIjioni.
Pia, DJ Teeanapatikanakwenyemitandaoyakijamiikwajina@djtee255

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top