Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Muonekano wa Shule ya Msingi Katembere iliyopo Serengeti Mkoani Mara ikiwa katika hali mbaya ambapo shule hiyo kwa asilimia kubwa inatoa huduma kwa jamii ya wafugaji huku ikihudumia wanafunzi 753 pamona na walimu 8.

Baadhi ya majengo ya shule ya Msingi Katembere iliyopo Serengeti Mkoani Mara yakiwa katika hali mbaya ,ambapo benki ya posta Tanzania TPB imeamua kusaidia ujenzi wa jengo moja lenye madarasa mawili pamoja na ofisi ya walimu  kwa mujibu wa Afisa habari wa benki hiyo ya Posta Tanzania Noves Moses

Moja ya jengo linalotumiwa na wanafunzi wa shule ya Msingi Katembere iliyopo Serengeti Mkoani Mara yakiwa katika hali mbaya ,ambapo benki ya posta Tanzania TPB imeamua kusaidia ujenzi wa jengo moja lenye madarasa mawili pamoja na ofisi ya walimu kama sehemu ya mchango wake katika kusaidia sekta ya elimu nchini ambapo ujenzi huo unatalajiwa kuanza mwezi ujao

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top