Wachezaji wa Timu ya Taifa ya
Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, wakijifua
kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda
wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo.
Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya Oktoba
2, 2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye Makutano
ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha na Alfred
Lucas wa TFF).
Kocha wa Makipa wa Timu ya Taifa
ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, Muharami
Mohammed maarufu kwa jina la Shilton (wa pili kushoto) akiwanoa vijana
wake, Kelvin Kayego (kushoto), Ramadhani Kabwili (wa tatu kushoto) na
Samwel Brazio kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali
Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya
Congo. Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya
Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye
Makutano ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha
na Alfred Lucas wa TFF).
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya
Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, wakijifua
kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda
wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo.
Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya Oktoba
2, 2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye Makutano
ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha na Alfred
Lucas wa TFF).
Madaktari wa Timu ya Taifa ya
Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, Dk. Sheicky
Mngazija (kushoto) na Gilbert Kigadye wakifuatilia kwa karibu mazoezi ya
timu kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile
Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo.
Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya
Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye
Makutano ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha
na Alfred Lucas wa TFF).
Post a Comment