Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Amos Makalla Mwenye miwani akipata maelekezo kutoka kwa Meneja wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Mbeya Ndugu Rodney Alananga aliyeshika kisemeo mara baada ya kutembelea banda hilo katika maonesho ya wajasilimali Kanda ya Nyanda za Juu Kusini katika Viwanja vya bustani ya jiji la Mbeya Sokoine.


Kaimu Meneja wa Huduma kwa wateja kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Makao Makuu Ndugu Jemsi Ndege ambapo amesema kazi kubwa waliyonayo katika maeneosho hayo ni kuendelea kutoa ushauri kwa wajasilimali hao ili kuzalisha bidhaa zenye ubora zinazo kidhi viwango vya ubora.

Bidhaa zilizopigwa marufu na Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akiagana na viongozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA mara baada ya kutembelea banda hilo katika maonesho ya wajasilimali Kanda ya Nyanda za Juu Kusini katika Viwanja vya Bustani ya Jiji Sokoine Mbeya.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top