Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 kilele cha Wiki ya Maji Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi Jiji la Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kufanya usafi katika Hospitali ya Wazazi Meta na Kukabidhi vifaa vya safi katika Hospitali hiyo,Hata hivyo katika kuelekea katika kilele cha  siku ya maji kauli mbiu inasema Maji safi na Maji taka punguza uchafu yatumike kwa ufanisi

Usafi ukiendelea katika maeneo Mbalimbali ya Hospitali ya wazazi Meta

Usafi ukiendelea..........

Usafi ukiendelea katika maeneo Mbalimbali ya Hospitali ya wazazi Meta



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top