Meneja
wa mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,
Bi. Mwanjaa Sembe, (kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo
kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari, Mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu
(TIA), Bi.Demetriz Bayona, baada ya kujiunga na Mfuko huo leo Julai 2,
2017.
Wananchi wengi waliotembelea banda la Mfuko huo leo, wamejiunga na mpango huo baada ya kupatiwa elimu na faida ambazo mwanachama anapata endapo atajiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari ambapo kujiunga hakuna masharti isipokuwa kwa mtu yeyote mwenye kazi ya kumuingizia kipato na atatakiwa kuchangia au kuweka akiba ya kima cha chini cha shilingi elfu 10 kila mwezi.
Miongoni mwa faifa ambazo mwanachama aliyejiunga na mpango huo ni pamoja na kujipatia bima ya afya, itakayomuwezesha kupata matibabu yeye mwanachama na wategemezi wake watatu. Lakini pia kujipatia mafao mablimbali yakiwemo fao la elimu, lakini pia mkopo wa nyumba na viwanja kutegemea na akiba ambayo mwanachama amejiwekea.
Wananchi wengi waliotembelea banda la Mfuko huo leo, wamejiunga na mpango huo baada ya kupatiwa elimu na faida ambazo mwanachama anapata endapo atajiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari ambapo kujiunga hakuna masharti isipokuwa kwa mtu yeyote mwenye kazi ya kumuingizia kipato na atatakiwa kuchangia au kuweka akiba ya kima cha chini cha shilingi elfu 10 kila mwezi.
Miongoni mwa faifa ambazo mwanachama aliyejiunga na mpango huo ni pamoja na kujipatia bima ya afya, itakayomuwezesha kupata matibabu yeye mwanachama na wategemezi wake watatu. Lakini pia kujipatia mafao mablimbali yakiwemo fao la elimu, lakini pia mkopo wa nyumba na viwanja kutegemea na akiba ambayo mwanachama amejiwekea.
Wanachama wapya wa PSPF wakijaza fomu za kujiunga na mpango wa PSS
Bi
Amina Mtoo akijaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni
wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari, (PSS), leo Julai 2, 2017
Mwanachuo
wa chuo cha Uhasibu jijini Dar es Salaam, Bi.Demetria Bayona,
akisikiliza kwa makini faida za kujiunga na PSPF kupitia mpango wa PSS
kutoka kwa afisa wa Mfuko huo. Baada ya kuelewa faida zake, Mwanachuo
huyo hatimaye alijiunga na kupatiwa kadi yake ya uanachama ndani ya
dakika 20.
Menenja
wa Mpango wa uchangiaji wa hiari, (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Bi. Mwanjaa Semba, (kulia), akitoa somo kwa mwananchi aliyetembelea
banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar
es Salaam leo Julai 2, 2017
Meneja
Usimamizi wa na utawala wa mifumo ya TEHAMA, wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, Bw. Bernard Ntelya, (kushoto), akimpatia maelezo mwananchi huyu
aliyetembelea banda la PSPF Julai 2, 2017
Afisa
kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii, (SSRA),
(kulia), akifuatilia jinsi maafisa wa PSPF wanavyotoa huduma kwa
wanachama na wananchi wanaotembela banda la Mfuko huo. SSRA imeweka
maafisa wake kila banda la linalotoa huduma ya hifadhi ya Jamii ili
kusikiliza malalamiko ya wanachama husika wa Mfuko hiyo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio, (kushoto),
akikaribishwa na Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bi.
Coletha Mnyamani alipotembelea banda hilo leo Julai 2, 2017.
Afisa
Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Isack Kimaro, (kulia),
akimuhudumia mwananchi huyu aliyefika kupata huduma kwenye banda la
Mfuko huo leo Julai 2, 2017.
Afisa wa PSPF, (kushoto), akimuhudumia mwananchi huyu aliyefika kupata huduma za Mfuko huo
Bw. Kimaro (kulia), akimsaidia kutambua michango yake mwanachama huyu aliyefika kwenye banda la PSPF
Afisa
uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF anayeshughulikia masuala ya
uchangiaji wa hiari (PSS), Bi. Asmahan H. Haji, akiwajibika ipasavyo
kwenye dawati lake
Bi
Asmahan (kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa PSPF kupitia mpango
wa PSS, Bi.Amina Mtoo, ambaye alisindikizwa na mchumba wake, Bw. Ayoub
Issa, leo Julai 2, 2017
Afisa
Uhusiano wa PSPF, Bi. Coletha Mnyamani, (kulia), akimkabidhi kadi ya
uanachama wa PSPF, Bi. Gloria P. Nyange, akiwa na mwanae wa miaka minne
Winprecious Noel baada ya kujiunga na PSS.
Bi
Mnyamani akimkabidhi kadi na nyaraka mbalimbali zinazoelezea jinsi
mwanachama huyu mpya Bw.Kamaga Salim Kilolo, aliyejiunga na mpango wa
uchagiaji wa hiari PSS.
Mwananchi akijaza fomu chini ya usaidizi wa Afisa uendeshaji msaidizi wa PSPF
Bi Asmahan H. Haji, (kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa PSPF, Bi.Sabah A. Dossa, baada ya kujiunga na mpango wa PSS.
Kabla
ya kujiunga na mpango wa PSS, Bi. Amina Mtoo, (wakwanza kushoto) na
mchumba wake, Bw. Ayoub Issa, walipata fursa ya kupewa elimu ya kina juu
ya kujiunga na mpango huo na faida ambazo mwanachama atapata ikiwemo
bima ya afya ambayo itawahusu wawili hao na wategemezi wao wawili
Bi. Mnyamani akimuhudumia mstaafu
Post a Comment