Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Ndugu Suzana Mkapa akihutubi katika mahafali ya kumi na tano ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tano kufanyika katika Kampasi ya Mbeya mwishoni mwaka wiki jijini Mbeya.
Idadi ya wahitimu wote ni 1818 wakiwemo wanawake 915 sawa na asilimia 49.7 ambao wametunukiwa cheti cha awali, stashahada, shahada na stashahada ya uzamili na kwamba taasisi hiyo imeweza kumiliki kampasi Mbeya, Singida, Mwanza, Mtwara na Kigoma.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA)Dk. Joseph Kihanda akitoa taarifa za Taasisi hiyo wakati wa Mahafali ya 15 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya

Mwenyekiti wa Bopdi ya Ushauri ya Wizara, Wakili Said Chiguma akitoa hotuba yake kwa wahitimu wa fani mbalimbali wakati wa mahafali ya 15 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya

Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Manunuzi na ugavi wa Chuo cha Uhasibu Kampasi ya Mbeya wakiwa wamesimama wima wakipokea shahasda yao kutoka kwa mgeni rasm


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top