Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Tarehe 7 Juni 2018 kuanzia saa 5:30 hadi 6:15 Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidini Ally Mboweto, alikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari. Hafla hiyo ilifanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja na kuhudhuriwa na Mke wa Mhe. Balozi, Hajat Ashura Ally Mboweto, Maafisa wa Ubalozi na viongozi mbalimbali wa serikali ya Nigeria. Yafuatayo ni matukio katika picha wakati wa hafla hiyo;-
C:\Users\Elias\Desktop\Mhe. Kukabidhi Hati\Amb Tan (2).JPG
Mhe. Balozi Mboweto akiwasili Ikulu na kupokelewa na Mkuu wa Itifaki wa Ikulu
C:\Users\Elias\Desktop\Mhe. Kukabidhi Hati\Amb Tan (3).JPG
Mhe. Balozi Mboweto akielekea kwenye uwanja wa gwaride.
C:\Users\Elias\Desktop\Mhe. Kukabidhi Hati\Amb Tan (4).JPG
Mhe. Balozi akipokea salamu za heshima kutoka kwa askari wa jeshi la Nigeria.

C:\Users\Elias\Desktop\Mhe. Kukabidhi Hati\Amb Tan (5).JPG
C:\Users\Elias\Desktop\Mhe. Kukabidhi Hati\Amb Tan (6).JPG
                            Mhe. Balozi akikagua gwaride
Mhe. Balozi akielekea kwenye ukumbi wa Ikulu baada ya kukagua gwaride.C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tanzania (21).JPG
C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tan (27).JPG
Mhe. Rais Buhari akiwa na Waziri wa nchi (Mambo ya Nje) na Katibu wa Rais akimsubiri Mhe. Balozi.
C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tan (30).JPG
C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Tan  (1).jpg
  Mhe. Balozi akikabidhi Hati kwa Mhe Rais Buhari




C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Tan  (2).jpg
Mhe. Balozi  akisalimiana na Mhe. Rais Buhari baada ya kukabidhi Hati.

C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tan (24).JPG
C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tanzania (25).JPG
Mke wa Mhe. Balozi, Maafisa Ubalozi na viongozi mbalimbali wa serikali ya Nigeria wakishudia tukio la kukabidhi Hati.
C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Tan  (4).jpg
Mhe. Balozi  akiwa katika mazungumzo ya falagha na Mhe. Rais Buhari.

C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tanzania (50).JPG
C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tanzania (51).JPG
Mhe. Balozi akitambulishwa kwa viongozi wa jeshi la Nigeria.




C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tanzania (42).JPG
Mhe. Balozi akisaini kitabu cha wageni Ikulu akishuhudiwa na mkewe pamoja na Maafisa Ubalozi.
C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tanzania (53).JPG
Mhe. Balozi  akiagana na Mkuu wa Itifaki Ikulu baada ya kumalizika kwa hafla ya kukabidhi Hati.

C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tanzania (54).JPG

                                Mhe. Balozi akiondoka Ikulu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top