Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

1Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 2Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa na Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa wakiimba wimbo mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Itwaga. 3Msanii Dokii akitumbuiza katika kijiji cha Itwaga kabla ya kuanza mkutano huo. 4Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa 5Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa 6Diwani wa kata ya Mgama Bw. Denis LupCala akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM Bw. Godfrye Mgimwa. 7Wananchi wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Bw. Godfrey Mgimwa, 8Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Itwaga. 9Wananchi wakirejea nyumbani mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo. 10Katibu wa CCM mkoa wa Iringa . Hassan Mtenga wa pili kutoka kushoto na kutibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe wakiteta jambo wakati wa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Ilandutwa kulia ni Meja Mbuta meneja wa kampeni hizo na kushoto ni Mwampamba kada CCM kutoka UVCCM. 12Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo. 13Wananchi wakinyanyua mikono yao juujuu kuashiria kumkubali mgombea huyo.

11Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top