Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Diwani kata ya Santiliya Mbeya vijijini Ndugu Athony Mwamboma akisaini mara baada ya kuapishwa katika kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini kilicho fanyika leo jijini Mbeya.

Hakimu Mahakama ya Wilaya ya Mbeya Ndugu Alisi Mkasila akiweka saini yake mara baada ya kumuapidha Diwani huyo.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top