Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Utumishi:
Taarifa za
Kina:
Tarehe ya Kuzaliwa: 1922-04-13
Tarehe ya Kuzaliwa: 1922-04-13
Mahali pa
Kuzaliwa: Butiama-Musoma
Ndoa: Nimeoa
Sheikh Abeid
Amani Karume
Utumishi:
Taarifa za
Kina:
Tarehe ya Kuzaliwa: 1905-08-04
Tarehe ya Kuzaliwa: 1905-08-04
Mahali pa
Kuzaliwa: Zanzibar
Ndoa: Nimeoa
HISTORIA YA MUUNGANO WETU
Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliundwa tarehe 26
Aprili 1964, muungano huo ulizinduliwa rasmi na Mwalimu Nyerere, Rais wa
Jamhuri ya Tanganyika na Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa Serikali ya
Mapinduzi, Karimjee Hall, Dar es Salaam. Waasisi walibadilishana Kanuni za
Misingi za Muungano na kuchanganya udongo wa Tanganyika na ule wa kutoka
Zanzibar kuwa ni ishara ya muungano wa nchi mbili zenye uhusiano wa karibu wa
muda mrefu kati ya watu wa Tanganyika na Zanzibar, uhusiano wa kisiasa
uliotokana na harakati za kupigania uhuru zinazofanan na imani ya pamoja ya
Uhuru wa Afrika yote
Sherehe za Kilele cha kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zitafanyika tarehe 26 Aprili, 2014
katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kabla ya Sherehe hizo
kutakuwa na Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
utakaofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja Tanzania Bara na Viwanja vya Maisara,
Zanzibar kuanzia saa 4:00 usiku wa tarehe 25 April 2014.
Post a Comment