BBC SWAHILI
Kampuni kubwa ya teknolojia
Apple imethibitisha kwamba itanunua vipokea sauti na huduma ya kusikiliza
muziki kupitia kwenye mtandao wa inteneti kutoka kampuni ya Beats Electronics
katika makubaliano ya dola bilioni 3.
Hatua hiyo inaonekana kama jitihada ya kuiendeleza sifa ya Apple katika soko la kusikiliza muziki kwenye mtandao.
Pamoja na ununuzi huo, waanzilishi wa Beats Jimmy Lovine na msanii mtajika katika mtindo wa kufoka na Hip Hop Dkt. Dre watajiunga na kampuni hiyo ya kiteknolojia.







Post a Comment