Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya na Mufindi wlioongazana na baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Mei 7, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mufindi na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, waliofika Ofosini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 7, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top