| Hili ni daraja linalotumiwa na wakazi wa jiji la Mbeya hususani kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day pamoja na wanafunzi wengine wa shule za jirani likiwa limechoka au kuharibika vibaya kwa nguzo zake kuoza kwa kiliwa na michwa hivyo kuna hatari ya kutokea kwa janga katika daraja hili kama halita patiwa ufumbuzi na wahusika. |
Post a Comment