Mwigizaji
maarurfu nchini Said Ngamba "Mzee Small" amefariki dunia usiku wa
kuamkia leo baada ya kupatwa na pressure na kukimbizwa hospitali ya taifa
Muhimbili.
Muigizaji
huyo mkongwe kabla ya kifo chake aliugua kwa muda mrefu pia.
Mzee Small ni mmoja wa wasanii wa mwazo katika
sanaa ya maigizo nchini kwenye enzi zake akiwa ametamba na wasanii wenzake
wakongwe kama vile Bi.Chau na King Majuto, ni mmoja wa wasanii ambao mchango
wake katika sanaa ya maigizo na tasnia ya filamu nchini hauwezi kusahaulika.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Ameen







Post a Comment