| Huu ni Mto unaopitisha maji katika Mtaa wa Ihanga mpakani mwa Kata ya Ruanda na Ilomba jijini Mbeya ambao umechafuliwa kwa kiwango kikubwa na wakazi wa maeneo jirani na Mto huo kwa kutupa taka ngumu huku viongozi wahusika wa eneo hilo wakishindwa kutoa adhabu kwa watu wanaobainika kutupa taka katika eneo hilo licha ya kutoa tangazo linalokaza kutupa taka katika eneo hilo. |
Post a Comment