![]() |
| Ujenzi wa njia za kupitishia wagonjwa ukiendelea kwa kasi katika Hospital ya Mkoa wa Mbeya |
![]() |
| Mganga Mfawidhi Hospital ya Mkoa Mbeya Dr.Grolia Mbwile akikagua akifuatilia kwa makini maendleo ya ujenzi wa miundombinu hiyo |
![]() |
| Miundombinu ilivyokuwa awali kabla ya kuanza kwa ujenzi huo |
![]() |
| Mambo yalivo sasa Picha na Keneth Ngelesi |















Post a Comment