Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mmoja wa washiriki katika mkutano huo kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi ASP Makungu akizungumza katika mkutano huo ambapo lengo la mkutano huo ni kufanya tathimini ya hali ya usalama katika mkoa wa mbeya..Picha na Keneth Ngelesi
Baadhi wa maafisa wa jeshi la polisi Mkoani Mbeya pamoja na wadau mbalimbali wakiendelea kujadili ndani ya mkutano huo ambapo pamoja na mambo mbalimbali waliyo jadili  ni pamoja na kutoa wito kwa madereva bodaboda kuanzisha utaratibu maalumu wa ubandikaji wa alama au kuweka namba katika maeneo ya vijiwe vyao kwa lengo la kutambua na kudhibiti miendo kasi na matukio ya kihalifu .






Mmoja wa wadau wa masuala ya ulinzi na usalama mkoani Mbeya Ndugu Julias Kaijage akichangia ndani ya Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi  mikutano wa Mount livingstone jijini Mbeya 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top