Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye kwa sasa anakaimu Ukuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Deodatus Kinawilo akifungua mkutano wa mwisho wa maandalizi ya sherehe za Nane nane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ambapo sherehe hufanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya .Picha na Keneth Ngelesi
Baadhi ya wakuu wa Wilaya Mkoani  Mbeya wakifuatilia kwa makini  mkutano huo ambapo kubwa lililo ibuka ndani ya mkutano huo ni juu ya ukamilisha wa michango kwa ajili ya sherehe hizo ambapo imeelezwa kuwa bado kuna dalili za kusuasua kwa kuanza kwa maonyesho hayo kutokana na washirika wengi ambao ni mikoa husika kuto wasilisha fedha hizo  kwa muda michango yao .

Viongonzi mbalimbali kutoka Mikoa ya Mbeya,Rukwa,Katavi,Njombe ,Iringa ,Ruvuma wakifuatilia kurasa kwa kurasa ili kujilidhisha na kinacho wasilishwa ndani ya Mkutano huo uliofanyika katika  ukumbi wa JKT ndani ya viwanja hivyo vya John Mwakangale jijini Mbeya ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni Matokeo Makubwa sasa..


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top