anaye jihusisha na tiba mbalimbali kwa mbadala,Diwani huyo alizuru
katika eneo la shamba la mahindi linalo milikiwa na Dk katika kijiji
cha Isanga kata Nkangamo Momba ili kujionea namna anavyo jihusisha na
uzalishaji mahindi kwa njia ya kitaalamu kulia ni meneja wa shamba
hilo Nandi Mwandandila (PICHA NA KENNETH NGELESI)
Post a Comment