Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Moja ya nyumba ya bei nafuu iliyojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Sayuni Hardware katika maonyesho ya wakulima Nanenane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Katika viwanja vya John Mwakangale ambapo ujenzi nyumba hiyo kwa eneo la Tofali pekee umetumia shilingi Mil 2.7 ambazo tofali 2700 kwa nyumba nzima.

Afisa Masoko wa Kampuni ya Sayuni, Ndugu Burton Hebron akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda hilo linalotengeneza tofali za  kisasa  kwa kutumia mashine  toka China  iliyopo eneo la Sae Jijini Mbeya. Picha na Kenneth Ngelesi



Hivi na Moja ya Vyumba vilivyoppo Ndani ya Nyumba hiyo







Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top