Idadi kubwa ya wakazi wa jiji la Mbeya wakiwa makini kufuatilia semina ya fursa inayoendeshwa na timu nzima ya Serengeti Fiesta 2014 chini ya Mkurugenzi Luge ambapo mara baada ya kukamilika kwa semina hiyo kutakuwa na Shangwe za Fiesta katika uwanja wa sokoine jijini hapa kwa kiingilio cha 5000 tu.
Kamanda wa polisi Mbeya Ahmed Msangi ndani ya nyumba akifuatilia fursa
Post a Comment