Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro wa tatu kulia akishangilia pamoja na viongozi mbalimbali wa jiji la mbeya   mara baada ya kuzindua rasmi maonesho hayo katika ukumbi wa kimataifa wa mkapa jijini hapa. .

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akifurahi jambo na wafanyakazi wa kiwanda cha Cement cha Lafarge cha jijini Mbeya mara baada ya kutembelea banda lao

















Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top