Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Balozi wa Rwanda nchini Eugene S. Kayihura akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es salaam.
 Balozi wa Rwanda nchini Eugene S. Kayihura akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za CCM Ofisi Ndogo Lumumba ambapo alikuwa na maongezi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Eugene S. Kayihura .
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania amekutana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Ndogo za CCM Lumumba akiongozana na Msaidizi wa Balozi Ndugu Ernest Bugingo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top