Kiongozi
mmoja katika jimbo la Borno alisema kuwa wapiganaji waliuwa wauza samaki karibu
50 karibu na kijiji cha Doron Baga, kando ya Ziwa Chad.
Alisema
wapiganaji wa Boko Haram wameweka kizuizi kwenye njia ya kuelekea Chad na
kuwakamata wachuuzi waliokuwa wakienda kununua samaki.
Katika
tukio jengine hapo awali watu karibu 50 waliripotiwa kuwa waliuwawa karibu na
mpaka wa Cameroon pale Boko Haram walipovamia kijiji cha Azara Kuya, siku
ambapo soko huwa na watu wengi.
Post a Comment