Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wahitimu wa  mahafali ya kumi na mbili ya uhasibu Tanzania  TIA  na ya pili kwa kampasi ya Mbeya wakiwa katika maandamano.


Mkuu wa wilaya ya Mbeya Profesa Norman Sigalla akiwahutubia wahitimu katika mahafali hayo ambapo alikuwa akimuwakilisha Waziri wa Fedha Saada Mkuya  ambapo jumla ya wahitimu .1,960 wametunukiwa vyeti huku wanawake wakiwa 947 na wanaume 1,013.
















Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top