KAMA ULIFUNGA NDOA MIAKA YA 90 HILI ENEO SI GENI KWAKO KWA WEWE MKAZI JIJI LA MBEYA A+ A- Print Email Eneo hili la halmashauri ya jiji la mbeya ambalo lilokuwa likitumiwa na wanandoa kwa ajili ya kupigia picha kwa miaka ya 90 na ili kupta fursa ya kupiga picha eneo hili lazima ulipe kiasi cha shilingi 500 hadi 1000 getini ama kweli tumetoka mbali Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070
Post a Comment