Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


RAIS KIKWETE APATA MESEJI MILIONI 24 ZA POLE KWA KUTUMIA NO HII YA SIMU,ZAIDI YA NUSU YA WATANZANIA WAMUOMBEA


Taarifa rasmi zina sema kuwa mamilioni ya watanzania wanaendelea kutuma meseji za pole na kumuombea rais wao apone haraka,marekani yasema ni zaidi ya meseji milioni 20 hadi sasa zimeingia kwa simu ya rais wetu zikimpa pole hali iliyowashangaza sana,jambo lililomuemea rais kikwete juu ya mapenzi ya watanznaia kwake,nae amekuwa akijitahidi kujibu meseji hizo kadiri anavyopata nafasi,mbali na kupata meseji toka kwa watanzania, pia rais kikwete amepata meseji nyingi sana toka nchi mbali mbali zikimpa pole na kumuombea,[pia baadhi ya meseji zimekuwa zikimpongeza kwa ujasili wake wakuweka wazi suala lake la kuumwa na operesheni aliofanyiwa.CHANZO MTIZAMO HURU 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top