Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa Kigoma Ndugu Riki Molema akiweka mchanga kwenye Kaburi hilo

Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani Songoro Said akiweka mchanga kwenye kaburi la miili ya marehemu 15 waliokufa katika ajali meli nchini kongo ambapo maziko hayo yamefanyika Nchini Tanzania MKoani Kigoma katika kijiji cha Kalilani ambako miili hiyo ilipatikana.

Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi  DRC Mkoani Kigoma akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kalilani Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wakati wa Mazishi.
Miili ya watu 15 Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amabao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalamie nchini humo ilipatika Kigoma na mazishi yake kufanyika mkoani humo.

Mazishi hayo yalifanyika katika kijiji cha Kalilani Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma na Kuhudhuriwa na Naibu Balozi Mdogo wa Ubalozi DRC  Mkoani Kigoma Ndugu Riki Molema.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top