Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba. Watanzania wenzangu,Nawatakia Heri ya Christimas na Mwaka Mpya.Wakati huu wa Sherehe za Mwisho wa Mwaka,Tutumie Sherehe hizi Kusambaza Upendo na Amani,Tuepuke kujihusisha na Uvunjifu wa Amani. Mungu Ibariki Tanzania.
Post a Comment