![]() |
Rais wa Marekani Barack Obama |
Home
»
»Unlabelled
» POLISI MZUNGU KUTOSHITAKIWA MAREKANI>>>>>SOMA HAPA
Polisi mzungu anayetuhumiwa kwa kumpigia risasi Mmarekani mweusi, April mwaka huu hatokabiliwa na mashtaka yoyote.
Mwendesha mashtaka katika mji wa Milwaukee nchini Marekani Amesema askari huyo Christopher Manney, alichukua hatua hiyo kwa lengo la kujihami baada ya kukabiliwa na Dontre Hamilton katika moja wapo ya bustani iliyopo mjini humo.
Askari huyo alimpiga risasi Hamilton, ambaye aliyekuwa na historia ya matatizo ya akili, baada ya kumng'ata shingoni.
Kifo cha Dontre Hamilton bado hakijaibua hisia za wengi ikilinganishwa na kifo cha Michael Brown na Eric Garner ambavyo vimesababisha kufanyika kwa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kulaani ukatili huo.
Familia ya Hamilton imekasirishwa na kauli ya mwendesha mashtaka huyo hivyo imeomba uchunguzi zaidi ufanywe na serikali kuu.BBC SWAHILI
Recent Posts
- MKUU WA WILAYA YA CHUNYA AAHIDI KUPAMBANA NA WAFUGAJI WAHALIBIFU WA VYANZO VYA MAJI07 Nov 20181
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Meryprisca Mahundi (katikati) akimkisikiliza kwa makin...Read more ?
- 25 Oct 20180
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (wa pili kushoto) akikabidhi cheti cha shukrani kwa ...Read more ?
- 25 Oct 20180
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (wa pili kushoto) akikabidhi cheti cha shukrani kwa ...Read more ?
- MHAGAMA AAGIZA NEEC KUFANYA TATHIMINI YA UHALISIA WA WANUFAIKA WA MIKOPO INAYOTOLEWA NA TAASISI ZA KIFEDHA20 Oct 20180
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenis...Read more ?
- MK17 Oct 20180
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhandisi Meryprisca Mahundi (kushoto) akisikiliza meelezo kutoka kwa mmoj...Read more ?
- BABA AMUUA MTOTO WAKE KWA SUMU MBEYA31 Aug 20180
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.