![]() |
| Leo nlikuwa na Kibarua cha kwenda kununua Muvie zote nizipendazo za kihindi nlizokuwa naendaga kutazama vibandani kwetu Tandale, Namkumbuka Mwenye Banda alikuwa anaitwa Johny!... Heb Niambie Movie ipi Unaikumbuka Na Ulikuwa unaiangaliga Wapi na Mwenye banda alikuwa anaitwa nani??? #Bangalore #INDIA |
Home
»
»Unlabelled
» DIAMOND AKUMBUKA MOVIE ZA ZAMANI ALIZOKUWA AKITAZAMA CHEKI ALICHOFANYA>>>>BOFYA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







Post a Comment