![]() |
| Mwili wa Marehemu Salmin Awadh ukiingizwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kwa ajili ya kuagwa rasmi. |
![]() |
| Viongozi mbali mbali wakijumuika na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakitoa heshma za mwisho kwa marehemu Salmin Awadh Salmin katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani |
![]() |
| Viongozi mbali mbali akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Muhammed Shein wakimuonbea dua Marehemu Salmin Awadh baada ya sala iliyofanyika Masjid Noor Muhammad (SAW). |
![]() |
![]() |
| Naibu Katibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mahmoud Muhammed wakibadilisha mawazo kuhusu msiba huo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar |
![]() |
| Mamia ya wananchi waliohudhuria sala ya kumuombea Marehemu Salmin Awadh Salmin wakiutoa msikitini mwili wa marehemu kuelekea kijijini kwao Makunduchi kwa mazishi. |
![]() |
| Msafara uliobeba mwili wa Marehemu Salmin ukiondoka Masjid Noor Muhammad (SAW) kuelekea Makunduchi kwa ajili ya mazishi.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
|















Post a Comment