Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza mara baada ya kukamilisha zoezi la uwekaji wa jiwe la Msingi katika soko mradi wa soko la kimaifa la mwanjelwa jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya ziara yake kutembelea shughuli mbalimbali za  kimaendeleo zinazo tekelezwa na serikali pamoja na wadau wa maendeleo katika Mkoa huo Feb 26 ,2015.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa soko hilo la Mwanjelwa jijini hapa picha na jamiimojablog.

Baadhi ya wanachi waliohudhuria hafla hiyo





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top