Hatimaye
Kenya na Tanzania zimeafikia suluhu ya mgogoro uliokuwa ukiendelea
kuhusu agizo lililotolewa kwa kampuni ya ndege ya KQ kupunguza safari
zake za ndege nchini Tanzania.Kwa sasa ndege za Kampuni ya KQ kutoka
Kenya zitaendelea na safari zake kama ilivyokuwa huku magari ya utalii
ya Tanzania yakiruhusiwa kuingia katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi.Viongozi wa mataifa haya mawili Jakaya Kikwete na
mwenzake Uhuru Kenyatta waliafikiana katika mkutano nchini Namibia.
Home
»
»Unlabelled
» KENYA NA TANZANIA ZIMEAFIKIANA SULUHU YA MGOGORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







Post a Comment