Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa akizungumza kwa niaba ya wenzake |
Wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya kuwaapisha wakuu wa Wilaya Wapya iliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya jijini hapa. |
Mkuu wa Wilaya ya Kyela Thea Ntara |
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Zainabu Mbussi akiapa mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya |
Pichani ni wakuu wa Wilaya ya za Mkoa wa mbeya |
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Ahmad Nammohe |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa katka picha ya pamoja na watendaji wa ofisi yake na wakuu wa wilaya wapya |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa habari Mkoa wa Mbeya |
Post a Comment