Mmoja wa watuhumiwa wa tukio hilo akiwa chini ya ulinzi katika kituo cha Polisi Morogoro. |
Jeshi la polisi mkoani Morogoro
linawashikilia watu 9 waliokuwa wamejifungia msikitini katika eneo la Kidatu
kilombero wakiwa na silaha mbali mbali na Vifaa vya milipuko ambapo katika
operesheni hiyo Askari mmoja amejeruhiwa.Endelea kufuatilia taarifa zetu
kufahamu zaidi.
Post a Comment