Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Huenda asijihisi kuwa mrembo ,lakini Sandra Bullock ndiye mwanamke mrembo duniani.
Iwapo anaamini hilo au la ,nyota huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 50 ametangazwa na gazeti la People magazine kama chaguo lake la kila mwaka la mwanamke mrembo duniani mwaka 2015.
Msanii huyo alidokezewa kuhusu habari hiyo kabla ya tangazo hilo kutolewa na jarida hilo.
Je tunakuuliza unakubaliana na uamuzi wa gazeti hilo kwamba Sandra Bullock ndiye mwanamke mrembo duniani? BBC SWAHILI

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top