Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Washiriki wa shindano hilo la Mbeya cycling Day 2015 wakiwa tayari kuanza kukimbiza upepo ambapo mshindi katika shindano hilo atapata fursa ya kushiriki shindano la Mkoa Mwezi Mei mwaka huu .
Afisa Taaluma Mkoa wa Mbeya Ndugu Protas Mpogole akizungumza katika uhitimishaji wa mashindano hayo katika viwanja vya shule ya Iyunga sekondari jijini Mbeya.


Said Ramadhani( 53) wa kwanza kulia ambaye ni  mmoja wa washiriki wa mashindano hayo mkazi wa Mbalizi na ambaye alikuwa kivutio cha wengi katika mashindano hayo.






Mratibu na Katibu wa Chama Cha Baiskeli Wilaya, Mbeya hurban and District Cycling Association(MUDICA ) Ndugu Wisemen akizungumza katika mashindano hayo.



















 JAMIIMOJABLOG
J

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top