Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkuu wa kitengo cha masoko wa Read brand Solution s Limted ambao ndio waandaaji wa Bonanza hilo ambapo Huawei na Pepsi ndio walodhamini Bonanza hilo lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu TECU jijini Mbeya Mei 10 ,2015






Banda la Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Huawei ambao ndio wadhamini wakuu wa Bonanza hilo wakitembelewa na wadau mbalimbali kwenda kujionea simu bomba kabisa zinazo sambazwa na kampuni hiyo.







Afisa Mauzo wa Kampuni ya Huawei Mkoa wa Mbeya na Nyanda za Juu Kusini Polyne Msuya kulia akitoa maelezo kwa wadau walitembelea banda hilo katika viwanja vya Chuo Kikuu Tecu jijini Mbeya ambapo Huawei ndio wadhamini wakuu wa bonanza hilo. .


Mdau Amani Kajuna Mwenyekiti wa Uvccm Mbeya mwenyeshati la mistari miekundu akifurahi jambo na Afisa Mauzo  wa Huawei Mbeya Polyne Msuya  mara baada ya kutembelea banda la Kampuni ya Huawei kujionea simu zinazo sambazwa na Huawei.




Afisa Masoko Huawei Tanzania Lydia Wangari akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Chuo kikuu Tecu mara baada ya kuzindua bonanza la Mabankes lililo andaliwa na Read brand Solutions  ambao ambalo limedhaminiwa na Huawei ambapo alisema kuwa kampuni hiyo ya huawei imejipanga kuwafikia wateja kwake kila kona Tanzania ambapo kwa sasa wameingia katika mkoa wa mbeya na lengo likiwa kufungua maduka kila kona ya jiji la mbeya .


Michezo mbalimbali ikiendelea katika viwanja hivyo.



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top