Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Michuano ya Kajuna Cup 2015 yakiendelea kupamba moto katika uwanja Mbata mei 21 mwaka huu ambapo timu za Ghana fc na All star zilitoanja jasho vilivyo ambapo katika mchezo huo timu ya Ghana Fc iliibuka kidedea kwa kuitungua All Star bao 2 kwa nunge nakujiweka pazuri katika michuano hiyo.











Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top