Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mdhamini wa mashindao ya Kajuna Cup 2015 Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna akizindua rsmi mashindao hayo katika viwanja vya shule ya msingi Mbata Mei 10 mwaka huu.

Mgeni rasmi Ndugu Amani Kajuna akikagua timu tayari kwa kuanza kutimua vumbi ambapo katika ufunguzi wa mashindano hayo Timu ya Terminal Fc ya jijini Mbeya na Mafiati car wash ndio waliofungua pazia la mashindano hayo mei 10 katika viwanja vya shule ya msingi Mbata ambapo Terminal Fc walikubali kichapo cha bao 2 kwa 1 dhidi ya Mafiati car warsh








Mtangazaji wa kujitegema Harubu Kabwe kaifanya yake katika mashindano hayo.



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top